Media Center

MAJALIWA: Ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha ITRACOM ni sahihi.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema maamuzi yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan…

Read More

Waziri Mkuu, aagiza ukamilishaji wa utoaji wa mitambo ya ujenzi kiwanda cha sukari Mbigiri

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa agizo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,…

Read More

Majaliwa: Rais Samia ameazimia kuendeleza kilimo cha zabibu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza kilimo cha zao la…

Read More

WAZIRI MKENDA ATUA BANDARI YA DAR ES SALAAM,AENDELEA NA MKAKATI WA KUDHIBITI ONGEZEKO LA BEI YA MBOLEA

Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili nchini akitokea nchini Morocco ambapo pamoja na mambo mengine katika ziara yake hiyo aliitembelea…

Read More

Waziri Mkuu aitaka Bodi ya korosho kutafuta masoko ya uhakika

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania ihakikishe inatafuta masoko ya uhakika ya zao hilo na yatakayotoa bei nzuri na…

Read More

WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE

Awahamasisha wananchi Kuongezha mashamba kwasababu parachichi zina faida kubwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi na…

Read More