News & Events
WAKULIMA LIMENI ALIZETI MPATE FAIDA YA HARAKA – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa mchana wa leo tarehe 13 Juni, 2021 amewaasa Wakulima wa mikoa inayolima…
Read MoreMh. Kassim Majaliwa atoa siku tano kwa Wizara ya kilimo kukabidhi pikipiki kwa maafisa ugani
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 Wizara ya Kilimo iwe imeondoa pikipiki zote wizarani hapo na…
Read MoreMifugo Elfu 25 kuanza kuvishwa Hereni za utambuzi wa kieleroniki Arusha DC
Na. Elinipa LupembeHalmashauri ya Arusha inategemea kuanza rasmi zoezi la utambuzi wa mifugo elfu 25 kwa awamu ya kwanza, ikiwa ni utekelezaji wa…
Read MoreMajaliwa: Tumepokea kauli ya wakazi wa Ngorongoro
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepokea kauli ya wakazi wa Ngorongoro kwamba wako tayari kupokea maelekezo ya Serikali na kushirikiana…
Read MoreMAJALIWA: Ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha ITRACOM ni sahihi.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema maamuzi yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan…
Read MoreWaziri Mkuu, aagiza ukamilishaji wa utoaji wa mitambo ya ujenzi kiwanda cha sukari Mbigiri
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa agizo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,…
Read More