News & Events
MAJALIWA: Ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha ITRACOM ni sahihi.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema maamuzi yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan…
Read MoreWaziri Mkuu, aagiza ukamilishaji wa utoaji wa mitambo ya ujenzi kiwanda cha sukari Mbigiri
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa agizo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,…
Read MoreMajaliwa: Rais Samia ameazimia kuendeleza kilimo cha zabibu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza kilimo cha zao la…
Read MoreWAZIRI MKENDA ATUA BANDARI YA DAR ES SALAAM,AENDELEA NA MKAKATI WA KUDHIBITI ONGEZEKO LA BEI YA MBOLEA
Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili nchini akitokea nchini Morocco ambapo pamoja na mambo mengine katika ziara yake hiyo aliitembelea…
Read MoreWaziri Mkuu aitaka Bodi ya korosho kutafuta masoko ya uhakika
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania ihakikishe inatafuta masoko ya uhakika ya zao hilo na yatakayotoa bei nzuri na…
Read MoreWAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE
Awahamasisha wananchi Kuongezha mashamba kwasababu parachichi zina faida kubwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi na…
Read More