Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Ummy a.Mwalimu (MB), kwa mwaka wa fedha 2021/22
Hotuba ya Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Ummy a.Mwalimu (MB), akiwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2021/22