Hotuba ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (MB.), kuhusu Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2022/2023
Hotuba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (MB.), kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2022/2023