Makamu wa Raisi Mama Samia azindua maonesho ya Nane Nane Simiyu
Hotuba ya mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa maadhimisho ya sikukuu ya wakulima - Nane Nane katika viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu