Press Releases

Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Maonesho ya Nane Nane kwa Mwaka 2020

Kama mnavyofahamu, Nchi yetu huadhimisha Sherehe za Wakulima na Maonesho ya Kilimo NANENANE kila Mwaka kuanzia tarehe 01 hadi 08 ya Mwezi Agosti. Maonesho hayo huambatana na uhamasishaji wa matumizi ya teknolojia bora za kilimo, ufugaji na uvuvi. Pia, maonesho hayo hushirikisha Wadau mbalimbali zikiwemo Wizara, Taasisi za Umma na Binafsi, Wabia wa maendeleo, wakulima na Vyama vya wakulima, wafugaji na wavuvi.....

Endelea kusoma kwenye pdf hapa chini....

Download-file/s:
  • Google+
  • E-mail
  • PrintFriendly