Waziri Mkuu aitaka Wiraza ya Kilimo iboreshe elimu ya ufugaji ili wafugaji wawe na mifugo bora
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi ihakikishe inaboresha utoaji wa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili kuiwezesha mifugo yao kuwa na ubora na uzito mkubwa badala ya mifugo ya aina hiyo kuonekana kwenye maonesho pekee.